cheyfitness
afya, Mazoezi na Michezo
Dec 14, 2010
MTANGAZAJI AULA TFF..
Mtangazaji wa Kituo cha EATV, Jimmy Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kusaka Mkurugenzi wa Masoko wa TFF, Rais wa TFF Leodegar
Tenga amewaambia Waandishi wa Habari kuwa Jimmy Kabwe ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Masoko wa TFF.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment