May 12, 2010

PAMOJA TENA..........


Baada ya kutengana nanyi wadau wangu kwa takribani miezi miwili kwa sababu ambazo hazikuweza kuzuilika, leo kwa rehema na uweza wa Mwenyezi Mungu tuko pamoja tena kuendelea kupata habari na vituko vya michezo.

3 comments:

  1. karibu tena. Tupe mazuri uliyonayo dear.

    ReplyDelete
  2. Karibu tena, we missed u, hope all is well with u.

    ReplyDelete
  3. Hi dear, karibu tena na hongera sana nasikia una baby girl.
    Tuwekee basi hata picha moja ya baby wako.
    Blessings to u and your family.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...