Mar 29, 2010

mafua ya nguruwe yalianzia hapa...!!!


inasemekana kuwa huyu mtoto ndio chanzo cha mafua ya nguruwe...!!
sijui nani alimtuma kwenda kuramba hilo gwezembu...!!

1 comment:

  1. Lazima ameona kwa wakubwa au hata kwa mtoto mwingine. Hatari hii. Gwezembu eeeeh? nimeipenda.


    disminder.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...