Feb 7, 2011

hata mastaa wanapambana na unene

Mariah Carey

tukiona mastaa wa ulaya na miili yao "perfect" tunaona kama vile ndio wamezaliwa hivyo ndugu zangu ile miili ipo kikazi zaidi kama staa hatoi single au hana photo shoot unaweza ukampita hata ukikutana naye njiani jinsi walivuo tofauti kwa hiyo na sisi wajemeni tunaweza sana kuipata hiyo miili kama tutakazana na mazoezi na kula sahihi


Britney Spears


Janet Jackson


Jessica Simpson


Tyra Banks


Kevin Federline

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...