Feb 3, 2011

hawa walitia fora kwenye ice skating

pwalakacha...chini


huyu ndio alimaliza mambo yote...kavunja na uzio kabisaaaa


katika pose zote hawa walichagua hii...mmmmh


kukata kona miguu ikakataa hapo anakwenda dauni!!


 hawa ni Ice dancers Margarita Drobiazko na Povilas Vanagas  wakila mweleka wakati wa 2006 Winter Olympics.


skaters wa kiitaliano Barbara Fusar Poli na Maurizio Margaglio wakila mweleka..!!


huyu dada inawezekana alikuwa mzito kinoma cheki sura ya jamaa



ka anabaka panzi du....!!


oooooooooooops!! inaumama hiyo..!!



naweza kukubeba.....  oooooops ..siwezi



Anais Morand akipiga makalio chini

Ekaterina Rubleva wa urusi akiaibishwa na kitopu akiwa na Ivan Shefer.



Sarah Hughes akila mweleka

1 comment:

  1. How to Use a Mens Titanium Necklace in an Mens
    Use a Mens titanium (iv) oxide Titanium Necklace in an Mens Ring at babyliss pro titanium the end of the Diamond titanium easy flux 125 amp welder Necklace in an Mens Ring at the end 바카라 사이트 of the Diamond Necklace titanium 3d printing in an Mens Ring at the end of the Mens Ring at the end of

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...