Jan 12, 2011

ULIMI....

Hivi unajua kuwa:

kupiga mswaki meno kunapunguza harufu ya mdomo kwa  25%



kupiga mswaki ulimi kunapunguza harufu ya mdomo kwa 75%


kupiga mswaki meno na ulimi kunapunguza harufu ya mdomo kwa 85%



Ina maana kusafisha ulimi ni muhimu zaidi kwa afya ya mdomo na kuepuka harufu mbaya!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...