Dec 21, 2010

Eto'o Mchezaji Bora wa Afrika


Eto'o ametajwa kuwa mchezaji bora wa afrika na kushinda tuzo hiyo kwa mara ya nne, Eto'o alishawahi kushinda tuzo hiyo 2003,2004 na 2005.

kwa kushinda tuzo hiyo mara nne Eto'o amewazidi wakongwe wa soka ambao walishawahi kushinda tuzo hiyo mara tatu wote wawili ambao ni Abedi Pele na George Weah.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...