Dec 14, 2010

MTANGAZAJI AULA TFF..


Mtangazaji wa Kituo cha EATV, Jimmy Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kusaka Mkurugenzi wa Masoko wa TFF, Rais wa TFF Leodegar  Tenga amewaambia Waandishi wa Habari  kuwa Jimmy Kabwe ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Masoko wa TFF.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...