Dec 17, 2010

Kobe na kumbukumbu za alikotoka..


kobe amemshukuru kocha wake wa High school Gregg Downer kwa kumfundisha mambo mengi ambayo yamemfanya awe na mafanikio aliyonayo leo

Kocha  Downer bado anafundisha timu ya shule ile ile ambayo alisoma Kobe inayojulikana kwa jina la Merion High School iliyopo Philadelphia.

Kwa kuonyesha shukurani zake kwa kocha wake huyo Kobe anatarajia kutembelea shule hiyo Alhamisi ijayo kuhudhuria sherehe kwenye gym ambayo wameipa jina lake. Kobe ameahidi kiasi cha $411,000 kwa ajili ya maendeleo ya elimu na michezo katika shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...