Dec 20, 2010

serengeti boys yachapwa 1-0


Timu ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Rwanda katika mashindano madogo ya Cecafa U-17 yanayofanyika kwenye uwanja wa Amahoro.

Kocha wa Tanzania Jamhuri Kiwhelu amesema kuwa Timu yake ilicheza vizuri licha ya kufungwa bao hilo la penati.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...