Feb 4, 2010

Kitambi "Beer Belly"

Mdau kama wewe ni mnywaji wa pombe unaweza kugundua kuwa tumbo lako limeanza kuwa kubwa au limeshakuwa kubwa kiasi cha kuning'inia. Kitambi ni tatizo linalotakea mara nyingi kwa wanaume pia hutokea kwa wanawake.

Jinsi nzuri ya kupunguza au kuondoa kabisa kitambini kupunguza kiasi cha Alcohol kinachoingia mwilini na kuanza kufanya mazoezi ya mara kwa mara. Beer ina kiwango cha juu sana cha calories ni ya pili ukiacha fat yenyewe.


Kama wazo la kuachana na kilevi linakuwia vigumu basi jaribu kutumia beer nyepesi ambayo ina kiwango cha chini cha calories ukilinganisha na beer ya kawaida.

Pia jaribu kupunguza kiwango chako cha unywaji, kunywa wakati wa weekend tu pamoja na kuwa na ulaji ulio na mpangilio na usisahau kufanya mazoezi ya mara kwa mara.

1 comment:

  1. naomba msahada mimi situmie bia wala kilevi yoyote lakini nina kitambi kubwa baada ya kujifungua kwa operation je nifanyeje? kupunguza kitambi

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...