Feb 26, 2010

weird and wacky ways to lose weight...!!

aina gani za diet za ajabu umeshawahi kujaribu? soma hizi......

The Sleeping Beauty Diet :
hapa ni kulala kwa muda mrefu zaidi ya kawaida, ujanja ni kwamba ukiwa umelala huli kwa hiyo ukilala mchana mzima hutakula mchana mzima na ukifanya hivyo kwa mwezi lazima utapungua.....mmh na sijui pesa utakuwa unatoa wapi.


The Tape Worm Diet :
(tahadhari ina madhara makubwa)
wapo minyoo wanauzwa, unawanunua kama vile dawa halafu unakunywa...agrrrrr...hawa wanaenda kula some unwanted mazagazaga huko ndani, lakini njia hii inasemekana kuwa ina madhara makubwa sana kama vile kichefuchefu kikali, maumivu ya kichwa, infection, kuhara na hata kifo.

hii ni moja ya tape worm diet pill

The Cotton Ball Diet :
unachukua bakuli lako lililojaa pamba na kuanza kula pamba yako ..... the theory behind this crazy diet ni kwamba pamba iko low kwenye calories hivyo unaweza jishibia pamba bila kunenepa.

unashangaaa...hata mimi..!!
duniani kuna mambo!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...