Feb 22, 2010

Public apology ya Tiger Woods yapokelewa kwa mtazamo tofauti


kujitokeza mbele ya hadhara kwa Tiger woods na kuomba msamaha juu ya tabia yake ya kutembea na mademu lukuki, achilia mbali kuwa ana mke na watoto, hatua hiyo imepokelewa kwa mtazamo tofauti wapo wanaosema kuwa alimaanisha maneno aliyosema wakati akiomba msamaha huo na wengine walisema kuwa hakuwa amemaanisha na kwamba hakuwa na hisia za mtu anayeomba msamaha alikuwa anaact tu na wengine walidiriki kusema kuwa " he still seems arrogant and will likely cheat again."




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...