Mar 1, 2010

Kenya yang'ara Kilimanjaro Marathon 2010..

Wakimbiaji wa mbio za kilomita 42 za Kilimanjaro Marathon 2010 wakiwaanza mbio hizo zilizofanyika katika Uwanja wa Chuo Kiuu cha Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi mshindi wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni za kiliomita 42 upande wa wanaume, Steven Chebogout kutoka Kenya.

Mshindi wa Mbio za Kilomita 21 za Kilimanjaro Marathoni 2010,Fabian Joseph Mtanzania akimaliaza mbio hizo.

Mzee wa miaka 67 kutoka moani Arusha, Ake Lingstone akimaliza mbio za kilomita 21

picha zote kwa hisani ya www.issamichuzi.blogspot.com


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...