Mar 28, 2010

..hii ndumba au maluweluwe...!!

kuna zile story huwa tunasikia "kataka kudaka mpira kaona moto" sasa hapa sijui ndio kinachotokea?..."kataka kupiga mpira kaona paka". ulaya nao wamo!!

1 comment:

  1. Tena hao wenzetu ndiyo wabaya zaidi, kwani wao ni NDUMBA na ELIMU wakichanganya inatoka BOMU KALI SANA.


    disminder.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...