Mar 19, 2010

anataka kuwa mnene kuliko wote duniani....!!!


mwanamama Danna Simpson anafanya kila analoweza kuhakikisha kuwa anakuwa mtu mnene kuliko wote duniani. hivi sasa ana pounds 600 anadai kuwa anataka kuingizwa kwenye Guinness Book of World Records kwa kuwa mwanamke mnene kuliko wote.






si tunatafuta kupunguza maunene mwenzetu ndio anayatafuta...jamani!!

1 comment:

  1. Huyu mamy, lazima atakuwa kapitiwa na kizunguzungu. She's out of her mind kabisa.
    that size? Mungu anipitishie mbali hizo sifa.
    MARADHI HAYO.


    disminder.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...