Mar 27, 2010

...tutafika kweli...?

uwanja una mti katikati ...hapa ukichoka unakula pozi kidogo kivulini....!!!

2 comments:

  1. duh si mchezo, yani hapo kuna mbigiri, miba, mawe ukianguka ndo basi tena ila tutafika akina Drogba nao walianzia huku huku wakiwa Ivory coast, ila inachekesha kweli.

    ReplyDelete
  2. Halafu wachezaji viatu mgogoro ni kukanyaga tu.
    Tutafika tu.

    disminder.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...