Mar 15, 2010

SIMBA YATWAA UBINGWA LIGI KUU YA VODACOM

koo zikiwakauka mashabiki wa simba baada ya kutangazwa ubingwa kabla ya ligi kwisha

Mussa Hassani Mgosi akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam, Ibrahim Shikanda.


Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la pili

Wachezaji wa timu ya Simba wakimbeba kocha wao Mzambia, Patrick Phiri baada ya mwamuzi wa mchezo kati ya timu hiyo na Azam, Ibrahim Kidiwa kutoka Tanga kumaliza pambano hilo lililofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na Simba kutwaa rasmi ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuinyuka Azam FC kwa magoli 2-0 huku ikiwa imebakiza mechi mbili mkono moja ikiwa na Mtibwa Sugar na Nyingine dhidi ya mtani wake wa jadi Yanga.

habari na picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...